Mwenyekiti CCM akamatwa kwa rushwa
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Wilaya ya Liwale Mkoani Lindi, inamshikilia Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) kata ya Likongowele, Mohamedi Ndope maarufu (Kifuku), kwa tuhuma za kupokea rushwa ya Sh 300,000.