Mambosasa apiga marufuku ving'ora vya magari haya
Kamanda wa polisi kanda maalumu ya Dar Es Salaam SACP Lazaro Mambosasa, amepiga marufuku uwekaji wa Alarm, Ving'ora na Sports light kwenye magari ya watu binafsi kwani vinasababisha taharuki kwa watumiaji wengine kuhisi kuna msafara wa kiongozi au mgonjwa.