Mo Dewji ajitolea Simba, Mwakyemba afafanua Waziri Mwakyembe akipeana mkono na Mohammed Dewji baada ya kuweka jiwe la msingi. Menyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa klabu ya Simba Mohammed Dewji, amesema kuwa ujenzi wa uwanja wa Bunju katika awamu ya kwanza, atagharamikia yeye mwenyewe. Read more about Mo Dewji ajitolea Simba, Mwakyemba afafanua