Gnako akataa kumuiga Nikki Wa Pili Gnako na Nikki wa Pili wakiwa na wapenzi wao. EATV & EA Radio Digital imepiga stori na msanii Gnako Warawara, ambaye amefunguka suala la familia yake , mavazi na 'issue' ya kumuiga Nikki Wa Pili kwa kumpost mpenzi wake. Read more about Gnako akataa kumuiga Nikki Wa Pili