Simba yatangaza usajili wa mchezaji mwingine Wachezaji wa Simba wakifanya mazoezi Klabu ya soka ya Simba kupitia kwa msemaji wake Haji Manara ameweka wazi kuwa, leo watamtangaza mchezaji mmoja ambaye mpaka sasa alikuwa hajaungana na kikosi kwenye maandalizi ya msimu ujao. Read more about Simba yatangaza usajili wa mchezaji mwingine