Meya amjibu Makonda, asema sheria lazima ifuatwe
Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Benjamin Sitta amesema, kilichocheleweshwa kuanza kwa ujenzi wa ufukwe mpya wa Coco ni kufuatwa kwa sheria za manunuzi pamoja na mabadiliko ya mchoro uliosababishwa na ujenzi wa daraja la Selander.