Wananchi Kigoma wahofia Ebola, watoa ombi

Wakazi wa Kijiji cha Mnanila Wilaya ya Buhigwe, mkoani Kigoma ambao wanapakana na nchi jirani ya Burundi, wameiomba Serikali kuongeza udhibiti wa njia zisizo rasmi zinazotumiwa na baadhi ya wananchi wa nchi jirani kuingia Tanzania, ili kuepuka ugonjwa wa Ebola.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS