Rais Shein atimiza ahadi kwa wazanzibar

Rais Dkt.  Ali Mohamed Shein akitazama meli ya MT MKOMBOZI II wakati ikiwasili kwenye bandari ya Malindi.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.  Ali Mohamed Shein, ametimiza ahadi yake aliyowaahidi wananchi kwa kununua meli mpya ya mafuta.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS