Rais Shein atoa wito kwa nchi wanachama wa SADC

Rais wa Zanzibar Dkt. Ali Mohamed Shein, akiwa katika picha ya Pamoja na Viongozi (SADC).

Rais wa Zanzibar, Dkt. Ali Mohamed Shein amezitaka Nchi za Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) kuweka mkazo wa matumizi ya bidhaa zake na wataalamu wake wa ndani katika kutengeneza fursa za ajira na masoko.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS