Ujumbe mzito wa Kapombe kwa wapenda soka Shomari Kapombe Mlinzi wa klabu ya Simba Shomari Kapombe ametoa shukrani zake kwa mashabiki waliomwombea, baada ya kurejea rasmi uwanjani tangu alipoumia mwishoni mwa mwaka 2018. Read more about Ujumbe mzito wa Kapombe kwa wapenda soka