RPC Kigoma azungumzia Radi iliyoua Ng'ombe 22

Ng'ombe

Kamanda wa Polisi Mkoani Kigoma Martin Ottieno, amethibitisha kutokea kwa tukio la kufa kwa Ng'ombe takribani 22,  baada ya kupigwa na radi katika Kijiji cha Kaziramihunda Wilayani Kakonko Mkoani humo.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS