Msamaha wa Nape, Makamba na Ngeleja, Ndugai anena Spika wa Bunge Job Ndugai Spika wa Bunge Job Ndugai, amewapongeza wabunge watatu wa CCM, Mh. Nape Nnauye, January Makamba na William Ngeleja kwa kitendo cha kiungwana cha kumwomba msamaha Rais Dkt. John Pombe Magufuli. Read more about Msamaha wa Nape, Makamba na Ngeleja, Ndugai anena