Walichosema Azam FC baada ya kichapo ugenini Klabu ya soka ya Azam FC imeweka wazi kuwa inajipanga kwaajili ya mchezo wa marudiano na Fasil Kenema ya Ethiopia ili kuhakikisha inapata ushindi na kusonga mbele baada ya kufungwa 1-0 ugenini. Read more about Walichosema Azam FC baada ya kichapo ugenini