Dogo Janja atambulisha mpenzi mpya Dogo Janja na mpenzi wake mpya Msanii wa Hip Hop nchini, Dogo Janja amemuweka wazi mpenzi wake mpya baada ya muda mrefu kupita tangu alipoachana na aliyekuwa mke wake, muigizaji Irene Uwoya. Read more about Dogo Janja atambulisha mpenzi mpya