Kuhusu mchawi Iringa, Mchungaji apingana na Polisi
Mchungaji Jeremiah Charles mkazi wa Ilula mkoani Iringa, aliyezua gumzo hivi karibuni mara baada ya mwanamke aliyedaiwa kufanya mambo ya kishirikina kuganda juu ya nyumba yake, ameeleza kushangazwa na taarifa zinazoeleza kuwa mchawi huyo alilipwa pesa ili afanye kimbwanga hicho.

