Manara ajitolea kuwasapoti Yanga, aeleza hofu yake Haji Manara Afisa Habari wa Klabu ya Simba, Haji Manara amesema kuwa amejitolea kuwasapoti wapinzani wake Yanga, Azam FC na KMC katika michezo ya Kimataifa kwa kuwa ni suala la Kitaifa. Read more about Manara ajitolea kuwasapoti Yanga, aeleza hofu yake