''Mimi bado chipukizi'' - Quick Rocka Quick Rocka Imekuwa ni muda sana tangu Rapa Quick Rocka aachie ngoma ambapo Falling ndiyo ilikuwa ngoma ya mwisho kutoka kwake, aliyoiachia rasmi tarehe 26 Septemba mwaka 2018 katika mtandao wa YouTube. Read more about ''Mimi bado chipukizi'' - Quick Rocka