Serikali ya Tanzania yalaani Vurugu Afrika Kusini
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Profesa Palamaganda Kabudi, amesema vuguvugu linaloendelea nchini Afrika ya Kusini, hatuwezi kulielewa bila kuelewa historia ya nchi hiyo kwa sababu ni kwa kipindi kirefu wananchi wake walinyimwa haki zao chini ya ubaguzi wa rangi.

