Facebook kuondoa 'Likes'? Picha ya mfano wa Likes za Facebook Mtandao wa Facebook ambao ni wamiliki pia wa Instagram na WhatsApp huenda wakaja na mpango kama ambao unaendelea kufanyiwa majaribio Instagram wa kuficha uwezo wa mtu kuona 'Likes'. Read more about Facebook kuondoa 'Likes'?