Madee atupa dongo kwa Nikki Wa Pili, Mwana FA
Nguli wa Bongo Fleva na shabiki mkubwa wa timu ya Arsenal hapa nchini Tanzania Madee, amewapiga kijembe wasanii wenzake na mashabiki wa timu ya Manchester United ambao ni Nikki wa Pili Mwana Fa na Ommy Dimpoz.