Polisi yabaini aliyedondoka juu ya paa alilipwa
Jeshi la Polisi mkoani Iringa, limesema kuwa limebaini tukio lililotokea la mchawi kudondoka juu ya paa la nyumba ya Mchungaji eneo la Ilula ni la kutengenezwa, mwanamke huyo alilipwa pesa ili kutengeneza sakata hilo.