Jinsi michango ya harusi ilivyogeuzwa rambirambi

KABLA ya tarehe 19 Mei, 2019 Nicholaus Jackson Mwandunga hakuwahi kuhudhuria msiba wala mazishi ya ndugu yake yeyote wa damu aliyefariki kwa ajali ya barabarani. Hakuwahi kufiwa na ndugu yake kutokana na ajali ya barabarani, alikua akisikia tu misiba ya aina hii ikiwakumba watu wengine.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS