"Changamoto zetu kama za Afrika Kusini - Majaliwa Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa Rais wa Afrika ya Kusini Cyril Ramaphosa leo Agosti 16, ametembelea eneo la Mazimbu mkoani Morogoro, eneo ambalo linaonesha uhusiano mkubwa wa kihistoria kati ya nchi za Tanzania na Afrika Kusini. Read more about "Changamoto zetu kama za Afrika Kusini - Majaliwa