Mrithi wa Lissu aanza na hili Bungeni Mbunge wa Mteule wa Singida Mashariki Miraji Mtaturu, ameapishwa leo Bungeni jijini Dodoma, akirithi nafasi ya aliyekuwa Mbunge wa Jimbo hilo Tundu Lissu, ambaye alivuliwa Ubunge na Ofisi ya Spika wa Bunge. Read more about Mrithi wa Lissu aanza na hili Bungeni