Kilichojiri, ufunguzi wa Sprite Bball Kings 2019 Picha katika matukio ya jana Michuano ya Sprite Bball Kings 2019 inayoandaliwa na EATV, EA Radio kwa kushirikiana na kinywaji cha Sprite imezinduliwa Jumamosi Agosti 17 katika viwanja vya Mlimani City. Read more about Kilichojiri, ufunguzi wa Sprite Bball Kings 2019