Yanga yapinga uamuzi wa TFF, yapanda kwa Mwakyembe
Fredrick Mwakalebela (kushoto) akiwa na moja ya kiongozi wa klabu katika mkutano na wanahabari
Uongozi wa klabu ya Yanga umepeleka malalamiko kwa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo ukipinga uamuzi wa Bodi ya Ligi kumfungia kocha Mwinyi Zahera.