'Sitaki mwanaume asiyekuwa na pesa' - Lulu Diva Msanii wa Bongo Fleva Lulu Diva amesema hajawahi kuhongwa, wala kujihusisha na kimapenzi na mtu ajipatike kipato, ila amesema hawezi kuwa na mwanaume ambaye hawezi kumuhudumia. Read more about 'Sitaki mwanaume asiyekuwa na pesa' - Lulu Diva