Mkutano wa SADC : Magufuli ataka SADC ifanye hili
Mkutano wa 39 wa SADC uliokuwa ukiendelea jijini Dar es salaam umehitimishwa leo baada ya kufanyika kwa siku 2, ambapo kupitia Mwenyekiti wake Rais Dkt John Pombe Magufuli, amesema Jumuiya itaendelea kushirikiana kwa pamoja.