Madereva wanavyobeba 'msalaba' vifo serikalini

Moja ya ajali iliyohusisha gari za serikali

LABDA naye afe katika tukio la ajali iliyotokea, lakini kama atabahatika kuwa hai baada ya ajali ya gari la serikali lililosababisha kifo au vifo vya watumishi wengine wa serikali, dereva wa gari hilo ndiye atakayebeba msalaba wa uwajibikaji ikiwemo kuchukuliwa hatua kali za kisheria.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS