''Wazazi tunzeni silaha vizuri'' - RPC Shana
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha Jonathan Shana, amezitaka Taasisi na watu binafsi wanaomiliki silaha, kuzitunza sehemu sahihi ili kuepusha madhara ambayo yanaweza kutokea endapo zitachukuliwa ama kuibiwa na kutumika vibaya.