Mwandishi wa habari za Uchunguzi Erick Kabendera (Mwenye shati la drafti)
Kesi ya utakatishaji fedha inayomkabili Mwandishi wa habari za Uchunguzi Erick Kabendera, leo Agosti 19 imepigwa kalenda hadi Agosti 30 mara baada ya upande wa Serikali kusema haujakamilisha upelelezi.