Uamuzi malipo ya waliopisha ujenzi Terminal III
Hatimaye wananchi wa Kipunguni waliopisha upanuzi wa Jengo la tatu la Abiria katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, wameanza kugawiwa maeneo yao hii ni baada ya kuwepo kwa mgogoro wa makubaliano kati ya kampuni ya kupima viwanja ya Tanzania Remix na wamiliki halali.