‘Mzimu' ajali ya Lucky Vincent bado unasumbua
Zaidi ya ajali tatu mbaya zimeripotiwa kutokea tena katika barabara ileile ilipotokea ajali ya wanafunzi ya Shule ya Msingi, Lucky Vincent huku ajali hizo zote zikisababisha vifo vya watu na kuacha majeruhi.

