MVP 2018, Baraka Sadick ahitaji mshahara wa 15 mil
Baraka Sadick akiwatoka wapinzani wake katika michuano ya Sprite Bball Kings
MVP wa michuano ya Sprite Bball Kings mwaka 2018, Baraka Sadick amesema kuwa nahitaji ofa ya mshahara kuanzia Sh. milioni 15 ili ajiunge na timu ya nje ya nchi.