Lissu 'akosoa' maamuzi ya kesi yake
Aliyekuwa Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu, amedai maamuzi yaliyotolewa na Mahakama Kuu ya Tanzania jana yalikuwa maamuzi ya hofu, kwa kile alichokieleza walifuata vitu vya msingi kwenye kufungua shauri hilo.

