Watoto walipukiwa na mabomu, Waziri atoa majibu
Mbunge wa Nungwi visiwani Zanzibar, Yusuph Hamis, amehoji juu ya mkakati wa Serikali katika kukabiliana na matatizo ya watoto kuokota mabomu, ili kuepusha vifo ambavyo vimekuwa vikitokea mara kwa mara jimboni kwake.

