Kila baada ya sekunde 40, mmoja hujitoa uhai
Shirika la Afya Duniani (WHO), limesema kila baada ya sekunde 40 mtu mmoja hujitoa uhai ulimwenguni, sababu kuu ikiwa ni kushindwa kuhimili msongo wa mawazo kutokana changamoto mbalimbali za kiuchumi, kimapenzi, na kisiasa.

