Azam FC wamalizana na kiungo Djodi Mchezaji Richard Djodi na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Azam FC, Abdulkarim Amin 'Popat' Klabu ya soka ya Azam FC imefikia makubaliano ya kuingia mkataba mpya wa miaka miwili zaidi na kiungo mshambuliaji, Richard Djodi. Read more about Azam FC wamalizana na kiungo Djodi