Bodi ya Ligi yaigomea Yanga Yanga Bodi ya Ligi (TPBL) imesema haitobadilisha ratiba ya mechi yoyote ya ligi ya msimu huu kama ilivyokuwa misimu kadhaa iliyopita. Read more about Bodi ya Ligi yaigomea Yanga