Msigwa amjibu RC Iringa, adai alikuwa anafurahisha
Picha kubwa ni Peter Msigwa na picha ndogo kushoto ni Ally Hapi.
Mbunge wa Iringa Mjini kupitia tiketi ya CHADEMA Peter Msigwa, amesema Mkuu wa Mkoa huo Ally Hapi hana mamlaka ya kumuagiza chochote kwani yeye anapokea maagizo kutoka kwa wananchi.