Familia ya Nyerere yaongelea awamu ya tano
Katibu mkuu wa umoja wa vijana wa Chama Cha Mapinduzi kitaifa, Mwalimu Reymond Mangwala, ameagiza kufanyika matembezi ya umbali mrefu yatakayohusisha vijana kote nchini wakielekea kijijini Mwitongo alipozaliwa Baba wa taifa Hayati Mwalimu Julius Nyerere.