Timu za Ligi kuu kupunguzwa, huu ndio mpangilio Afisa Mtendaji Mkuu wa Bodi ya Ligi, Boniface Wambura Bodi ya Ligi (TPLB) imetangaza mabadiliko ya kanuni za Ligi kuu, ikiwemo kupunguza timu kutoka 20 hadi 16 ifikapo msimu wa 2021/22. Read more about Timu za Ligi kuu kupunguzwa, huu ndio mpangilio