Kabendera amepooza mguu, mahakama yaamua hili
Kesi inayomkabili Mwanahabari Erick Kabendera imeahirishwa hadi Septemba 18, ambapo Hakimu wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Agustine Rwizile, amemuagiza Mtuhumiwa kuja kuieleza mahakama kile kitakachoendelea kuhusu afya yake.

