Magufuli ateua Mkurugenzi mpya Usalama wa Taifa

Rais Magufuli (kushoto) na Diwani Athumani akila kiapo (kulia).

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Magufuli amemteua na kumuapisha Kamishna Diwani Athumani Msuya, kwa kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS