Messi atolea tamko usajili wa Neymar Lionel Messi na Neymar Jr Nahodha wa Barcelona, Lionel Messi ameweka wazi kuwa alikuwa ana matarajio makubwa juu ya usajili wa Neymar Jr katika klabu yake msimu huu. Read more about Messi atolea tamko usajili wa Neymar