Picha la Billnass na Nandy bado linaendelea Nandy na Billnas Issue ya wasanii Billnass na nandy kudaiwa wamerudiana bado inaendelea, baada ya rapa huyo kufunguka mengine yaliyotokea wakati wanashoot video ya wimbo wao wa Bugana. Read more about Picha la Billnass na Nandy bado linaendelea