Baada ya ligi kudhaminiwa, Mwakyembe aiomba TFF Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Dk Harrison Mwakyembe, amelitaka Shirikisho la soka nchini (TFF), kuzingatia masharti yaliyopo kwenye mkataba wa udhamini wa ligi kuu. Read more about Baada ya ligi kudhaminiwa, Mwakyembe aiomba TFF