Rais azindua hoteli itakayoongeza pato la taifa
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Mapinduzi Dkt Ali Mohamed Shein, leo Agosti 24, amezindua hotel ya Madinat El Bahr mjini Unguja, itakayoweza kuchangia asilimia 27 ya pato la Taifa na asilimia 80 ya fedha za kigeni.