Kocha wa Simba atoa maelezo Kocha wa Simba Patrick Aussems Kuelekea mchezo wa marejeano wa hatua ya awali ya Ligi ya Mabingwa Afrika, kati ya Simba dhidi ya UD Songo ya Msumbiji, kocha wa Simba Patrick Aussems amesema wanajua wanatakiwa kushinda na watafanya hivyo. Read more about Kocha wa Simba atoa maelezo