Simba yaziacha Yanga na Azam kimataifa Klabu ya Soka ya Simba imetolewa nje ya Michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika, kwa kutolewa na timu ya UD Songo kutoka Msumbiji, kwa kutoka sare ya bao 1 kwa 1 huku mechi ya awali wakitoa sare ya bila kufungana. Read more about Simba yaziacha Yanga na Azam kimataifa